- 115 viewsDuration: 1:39Kampuni ya bima ya Jubilee imehimiza ukaguzi wa mapema wa ugonjwa wa saratani ili wale walio na makali ya ugonjwa huo watambulike mapema na kuanza matibabu. Hii itaongeza viwango vya kupona na kupunguza mzigo wa matibabu miongoni mwa wagonjwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya