Kampuni ya chumvi yadaiwa kunyakua ardhi Garsen

  • | Citizen TV
    95 views

    Maelfu ya wakaazi kutoka kijiji cha Tana Kurole eneo bunge la Garsen wamelalamikia kudhulumiwa na kampuni moja ya kutengeneza chumvi