Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Dangote yanunua asilimia 25 ya hisa za KPC

  • | KBC Video
    869 views
    Duration: 2:09
    Kampuni ya Dangote imenunua asilimia 25 ya hisa za kampuni ya Kenya Pipeline kwa kima cha shilingi bilioni 43. Mwenyekiti wa kampuni hiyo Aliko Dangote, aliambia kongamano la kibiashara mjini London kuwa alinunua hisa hizo wakati serikali ilipotangaza ubinafsishaji wa shirika hilo mwezi Machi mwaka huu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive