Kampuni ya maji ya kaunti ya Kakamega, KACWASCO yapiga hatua ya kukabili wizi wa maji

  • | Citizen TV
    367 views

    Kampuni ya maji ya kaunti ya Kakamega kacwasco imepiga hatua ya kukabili wizi wa maji Kwa kushirikiana na kitengo maalum cha polisi kuwakamata wezi wa bidhaa hiyo.