Kampuni ya maji yalaumiwa kwa kusababisha hasara ya maji

  • | Citizen TV
    221 views

    Maafisa wa kampuni inayoshughulikia maji na usafi wa mazingira katika kaunti ya Bomet walikuwa na wakati mgumu kujibu maswali kutoka kwa wanachama wa kamati ya bunge la seneti iliyofika Bomet kutathmini hali ya ukosefu wa maji kutokana na ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali.