Kampuni ya MARWASCO yalalamikia uharibifu wa mabomba

  • | Citizen TV
    110 views

    Kampuni ya kusambaza maji katika kaunti ya Marsabit MARWASCO, imelalamikia uharibifu wa mabomba ya maji mjini Marsabit na viunga vyake, licha ya kampuni hiyo kujitolea kuweka mabomba ya maji