Kampuni ya mawasiliano inayokusanya habari eneo la Ngomeni yakabidhi polisi kituo

  • | Citizen TV
    178 views

    Kampuni ya mawasiliano inayokusanya habari eneo la Ngomeni kaunti ya Kilifi imekabidhi idara ya polisi nchini kituo kipya cha polisi cha Ngomeni kama juhudi ya kuimarisha usalama eneo hilo.