Kampuni ya meli kubwa ya Hapaq Lioyd yaanzisha safari Lamu

  • | Citizen TV
    371 views

    Kampuni ya meli kubwa ya Hapaq LIoyd imeanzisha biashara ya Meli katika bandari ya Lamu ikiwa kampuni ya pili baada ya kampuni ya CMA CGM.Meli ya Mv Tolten yenye mita 300 kutoka kampuni hiyo imewasili bandarini Lamu ikiwa na kontena 140 za mizigo