Kampuni ya meli kubwa ya Hapaq Lioyd yaanzisha safari Lamu

  • | Citizen TV
    307 views

    Kampuni ya meli kubwa ya hapaq lioyd imeanzisha biashara ya meli katika bandari ya Lamu ikiwa kampuni ya pili baada ya kampuni ya CMA CGM.