Kampuni ya mkopo ya Tala yashirikiana na Redio Citizen

  • | Citizen TV
    277 views

    Kampuni ya mikopo ya Tala imeshirikiana na Radio Citizen kufanya maonyesho ya barabarani maeneo ya Pwani na kwa siku ya pili yakatua eneo la Kwale