Kampuni ya RMS yaendelea kutamba

  • | Citizen TV
    369 views

    Runinga ya Citizen imedhihirisha tena ubabe wake katika tasnia ya habari baada ya kutuzwa kuwa chapa inayovutia zaidi nchini Kenya kwenye tuzo za Brand Africa 2025, huku kampuni ya Royal Media Services ikitajwa bora kwa kuaminika zaidi nchini.