- 27 viewsKampuni ya teknolojia iliyoko Boston imetengeneza mkono wa bandia ambao unaweza kuzungumza lugha ya ishara. Umekusudiwa kwa ajili ya watumiaji wasioona na kusikia, mkono huo unatafsiri maandishi ya mtandaoni kwenda katika lugha ya alama. Walioutengeneza wanasema una uwezo wa kufungua ulimwengu maudhui ya kidigitali kwa watumiaji wasioona na kusikia. Hii ni hiyo Tatum T1 Mkono wenye Vidole vyenye kutamka herufi “Tatum Robotics ni kampuni ya teknolojia saidizi yenye makao yake Boston, na lengo letu ni kutengeneza nyenzo ya kwanza saidizi ya mawasiliano kwa ajili ya jamii ya watu wenye ulemavu wa kuona na kusikia ambao wanaweka kipaumbele matumizi ya alama. “Hivyo watu wenye ulemavu wa kuona na kusikia wanawasiliana kupitia alama, pia zinajulikana kama alama ya mkono juu ya mkono mwengine.” Hivyo basi mtu mwenye ulemavu wa kusikia kuona huushika mkono kwa nyuma na hupokea alama katika kiganja chake moja kwa moja.” T1 imechukua nafasi ya mkono wa mtu kutafsiri maandishi yaliyoko katika mtandao. “Nitachapa neno hapa kujaribu – Nitaandika neno na kisha nitaliwasilisha na baadae Jaimi atanieleza hiyo alama inamaana gani.” //”S-n-a-i-l, yep, yep, hivyo neno nililoandika lilikuwa “snail’.” Roboti huyo anaweza kutumiwa nyumbani na mashuleni kutafsiri barua pepe, tovuti, na vitabu vya mitandaoni na zaidi. “Hivi sasa, mtu mwenye ulemavu wa kuona na kusikia nyumbani, wengi wao wanatengwa sana.” “Kwa kweli tunataka kuhakikisha kuwa watu wanaweza kufikia habari, huduma za afya, elimu, jamii yao, bila ya utegemezi kama vile watu wengine wanaosikia na kuona wanavyoweza kutumia fursa mbalimbali hivi leo.” #kampuni #teknolojia #boston #mkono #TatumRobotics #mkono #bandia #tafsiri #habari #hudumayaafya #elimu #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kampuni ya teknolojia Boston imetengeneza mkono wa bandia unaoweza kuzungumza lugha ya ishara
- - Duniani Leo ››
- 3 Jul 2025 - Growing up in a small, remote village, Kalwande village, in Kenya, Collins Odiwuor’s earliest memories of sport are stitched into the muddy football fields where he played barefoot with friends. It was in these rain-soaked games that a deep love for…
- 3 Jul 2025 - With 25 months until the 2027 General Election, discussions of forming a grand coalition to unseat President William Ruto are gathering momentum behind the scenes. At least seven key political heavyweights are quietly laying the groundwork for their own…
- 3 Jul 2025 - Microsoft on Wednesday said it was slashing a little less than four percent of its global workforce as it seeks to cut layers of middle management and leverage new technologies.
- 3 Jul 2025 - County governments’ total wage payments dropped for the first time in five years despite a 2.3 per cent increase in workers to 226,000, signalling tight financing conditions at the National Treasury. According to the 2025 Economic Survey by the Kenya…
- 3 Jul 2025 - Kenya is on the verge of reintroducing the controversial consumptive utilisation of wildlife law, which flopped in the 1970s following a sharp decrease in wildlife population. On June 25, the Ministry of Tourism and Wildlife concluded the public…
- 3 Jul 2025 - The Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) has strongly condemned the harassment and threats directed at striking doctors in Kwale County. This follows a Tuesday, July 1, 2025, incident where tension flared up at the…
- 3 Jul 2025 - A prominent Zimbabwean journalist was detained Wednesday over a satirical article critical of President Emmerson Mnangagwa, in a charge media groups decried was another attack on freedom of expression.
- 3 Jul 2025 - Several senators have criticised their National Assembly counterparts for excluding them from formulating the Constitution of Kenya (Amendment) Bill 2025, which seeks to entrench various government funds. Senators Edwin Sifuna (Nairobi), Samson Cherargei…
- 3 Jul 2025 - Teacher and social media influencer Albert Ojwang’ was on July 2, 2025, eulogised as a man of few words but with boundless generosity. A low-key memorial service attended by a handful of mourners at the Ridgeways Baptist Church in Nairobi was held in…
- » Kenya newspapers review: Boniface Kariuki's family records statement as William Ruto gives them KSh 1m3 Jul 2025 - President William Ruto, through Murang’a MP Betty Maina, donated KSh1 million to the family. The donation was presented during a prayer meeting held in Kangema.