Kampuni ya uchimbaji mkubwa wa madini hapa nchini kukamilisha shughuli zake kaunti ya Kwale

  • | K24 Video
    103 views

    Huku miaka miwili ikisalia kwa kampuni ya uchimbaji mkubwa wa madini hapa nchini base titanium kukamilisha shughuli zake kaunti ya Kwale ripoti endelevu imezinduliwa kuhusu uchimbaji wa madini katika eneo hilo.