Kampuni ya Universal Corporation Ltd imeanza kutengeneza dawa za kudhibiti makali ya HIV

  • | NTV Video
    434 views

    Miezi miwili iliyopita watu walio na virusi vya HIV walijawa na wasiwasi kufuatia matangazo ya Marekani kusitisha kusambaza dawa za kudhibiti makali ya HIV.

    Kampuni ya Global Fund sasa imeipongeza kampuni ya Universal Corporation Limited inayotengeneza dawa za HIV na kusafirisha katika nchi zingine.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya