Kampuni ya Worldcoin yaagizwa kufuta deta za Wakenya

  • | KBC Video
    16 views

    Mahakama kuu imeagiza wakfu wa Worldcoin kufuta takwimu za mboni za ,macho na nyuso zilizokusanywa kutoka kwa wakenya mwaka-2023 katika muda wa siku saba zijazo. Kwenye uamuzi wake alioutoa leo kwa njia ya video, jaji Aburili Roselyne, pia aliagiza utaratibu wa kufuta deta za alama za viungo vya mwili kusimamiwa na afisi ya kamishna wa utunzaji deta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive