Kampuni za kusambaza maji hupoteza bilioni 11 kila mwaka

  • | Citizen TV
    110 views

    Waziri wa maji eric mugaa ametaka kampuni za kusambaza maji nchini kupunguza hasara ya maji na kukabiliana na wizi wa maji ili kuafiki mipango ya kuhakikisha kila mkenya amepata maji safi.