Kampuni zaacha mashimo wazi vijijini kote na KBC Tana River

  • | Citizen TV
    296 views

    Wenyeji wa vijiji vya kote na kbc katika kaunti ya tana river wanalalamikia uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli za uchimbaji madini ya jasi.