Skip to main content
Skip to main content

Kanali mstaafu George Were aombolezwa kwa ukarimu na upole wake

  • | Citizen TV
    821 views
    Duration: 1:56
    Familia ,Jamaa na marafiki walimuomboleza kanali mstaafu George Were kama mkarimu na aliyekuw ana upendo kwa wote. Kwenye Misa ya wafu iliyofanyika katika kanisa la St. Joseph’s Nyabondo kaunti ya Kisumu, rubani huyo alisifiwa kwa upole wake na utendakazi wa hali ya juu