Kandarasi ya Utendakazi I Wakuu wa idara wahimizwa kuwajibika

  • | KBC Video
    29 views

    Katibu katika wizara ya habari, mawasiliano na uchumi dijitali Prof. Edward Kisiang'ani, ametoa changamoto kwa idara zote za wizara hiyo kuzingatia viwango vya juu vya maadili na taaluma kwa ajili ya utoaji huduma bora kwa wananchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive