- 2,005 viewsVazi la Kanga ama Leso ni maarufu sana Afrika Mashariki, hasa katika ukanda wa pwani. Kanga sio tu vazi la kitamaduni, bali pia ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Waswahili na Waafrika kwa ujumla. Umaarufu wa kanga ulijulikana hasa katika kufikisha ujumbe, kwani maneno yaliandikwa kwenye kanga yalikuwa yakilenga kufikisha ujumbe kwa adui, rafiki, au ndugu. Hata hivyo, kutokana na kuenea kwa mitandao ya kijamii, kanga imeanza kupoteza umaarufu wake. Video: @Humphreymgonja #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Kanga: Vazi maarufu Afrika Mashariki
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - Yesterday, June 16, 2025, was International Domestic Workers Day, set aside by the United Nations and observed globally to recognise the significant contribution of domestic workers to the economies of families, communities, nations and the world.…
- 17 Jun 2025 - According to Pastor John Njoroge from PISGHA Academy, the medical camp had come at the right time, as families were undergoing untold suffering.
- 17 Jun 2025 - Kenya’s top paralympic athletes could feature at this month’s National Athletics Championship after the Kenya National Paralympic Committee (KNPC) formally petitioned Athletics Kenya (AK) to include them in the three-day competition slated for June 26-…
- 17 Jun 2025 - Jerop's Russian partner told her that his ailing father wanted to meet their one-year-old daughter.
- 17 Jun 2025 - Nairobi county government, headed by Governor Johnson Sakaja, spent Ksh3.3 billion in the last nine months on legal fees, garbage, and other creditors’ expenditures, yet it only spent a paltry Ksh2.43 billion in the development budget, representing 17…
- 17 Jun 2025 - Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
- 17 Jun 2025 - Power wrangles rock Kaimosi Friends University over VC job
- 17 Jun 2025 - Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman
- 17 Jun 2025 - What Kenya can do to reduce the high number of bad loans
- 17 Jun 2025 - Gachagua credits survival to State insider network