Kanisa katoliki la mulala huko Makueni lawatuza wakongwe

  • | Citizen TV
    271 views

    Zaidi ya wakongwe elfu moja wenye umri wa miaka 70 kwenda juu walikutanishwa katika kanisa la katoliki la Mulala kaunti yaMakueni na padri wa kanisa hilo Fr Joseph Makite kuwazungumzia na kuwatia moyo kabla ya kuwapa zawdi mbalimbali na chakula