19 Mar 2026 1:43 pm | Citizen TV 260 views Duration: 1:34 Kanisa la Full Gospel limeongeza juhudi za kibinadamu kwa kugawa chakula cha msaada kwa familia zilizoathirika vibaya na ukame katika maeneo ya Rift Valley.