Kanisa la glory of christ laondolewa kwenye sajili

  • | Citizen TV
    859 views

    Hii ni baada ya kiongozi wake kukemea utekaji nyara Josephat gwajima alilalamikia mateso ya mwangi na atuhaire Tanzania yasema gwajima anachochea wananchi wa tanzania Gwajima pia ni mbunge wa eneo la kawe huko tanzania