Kanisa la PAG Kenya limetangaza msimamo wake kuhusu BBI

  • | Citizen TV
    Kanisa la PAG Kenya limetangaza msimamo wake kuhusu mchakato wa BBI na kuapa kuwa halitaunga mkono BBI iwapo mchakato huo unalenga kugawanya wakenya. Katibu mkuu wa kanisa hilo Patrick Lianda amewataka wanasiasa kukoma kutumia lugha chafu kwenye mikutano ya BBI ili kudumisha Amani