Kanisa latakiwa kupaza sauti kuhusu maadili ya uongozi

  • | Citizen TV
    75 views

    Viongozi wa kidini kutoka Afrika wamekusanyika Nairobi kwa kongamano la wiki moja, wakitoa wito kwa kanisa kushiriki kikamilifu katika kupaza sauti zao kuhusu maadili ya uongozi