Kanisa latoa wito wa mazungumzo kati ya serikali na waandamanaji

  • | K24 Video
    509 views

    Mwakilishi mkuu wa Vatican nchini Kenya, Askofu mkuu Maria Van Megen, ametoa ujumbe mkali kwa waandamanji na serikali akisema vurugu na uharibifu havitatui chochote, ila mazungumzo tu ndio yenye jawabu.