Kapu La Biashara

  • | KBC Video
    12 views

    Halmashauri ya kitaifa ya nafaka na mazao-NCPB imeanza kuwafidia wakulima walionunua mbolea ghushi. Wakulima walioathirika wametakiwa kuwasilisha rasmi malalamishi yao kwa kujaza fomu zilizoko kwenye maghala ama vituo walikonunua mbolea hiyo ghushi. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive