Karisa Mae yuko wapi?

  • | Citizen TV
    1,312 views

    Familia moja katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi sasa inataka polisi kuchunguza tukio la kutoweka kwa mfanyabiashara Karisa Mae. Mae alikamatwa akirejelea nyumbani baada ya kumpeleka mwanawe shule.