KARLO : Utumizi wa teknolojia waimarisha kilimo

  • | KBC Video
    45 views

    Patrick Ooro ambaye ni mtafiti katika shirika la utafiti kuhusu kilimo na ufugaji-KARLO amesema changamoto za kupata habari kuhusu shughuli za kilimo zimeanza kupungua kutokana na utumizi wa teknolojia kwenye kilimo. Allan Aoko na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News