Kasarani: CAF yaonya FKF baada ya kuvunjwa kwa kanuni

  • | Citizen TV
    709 views

    SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA CAF LIMETOA ONYO KALI KWA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI FKF KUFUATIA KUVUNJWA KWA BAADHI YA KANUNI WAKATI WA MCHUANO WA HARAMBEE STARS DHIDI YA JAMHURI YA DEMOKRASI YA CONGO UWANJANI KASARANI. MECHI HIYO YA MCHUANO WA CHAN ILISHUHUDIA KUVUNJWA KWA KANUNI ZA USALAMA HUKU BAADHI YA MASHABIKI WAKIINGIA UWANJANI WAKIWA NA NGOMA NA FIRIMBI. NA KAMA LUQMAN MAHMOUD ANAVYOARIFU KENYA IMPEIGWA FAINI YA SHILINGI MILIONI 2.91 NA CAF