Kasisi aliyeuawa azikwa kwenye maziara ya kanisa la Holy Family, Lessos

  • | KBC Video
    16 views

    Maelfu ya waombelezaji wenye huzuni nyingi walijitokeza eneo la Lessos katika kaunti ya Nandi kumpa buriani Kasisi Allois Cheruiyot Bett aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majangili katika eneo la Tot,Kaunti ya Elgeiyo-Marakwet majuma mawili yaliyopita alipokuwa akitoka kwenye ibada ya Jumuia. Na jinsi mwanahabri wetu Timothy Kipnusu anavyoarifu viongozi wa kisiasa na wale wa kidini wamelaani kitendo hicho cha unyama huku wakitaka serikali kukamilisha uchunguzi mara moja kuhusiana na mauaji hayo na wahusika kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive