Kasisi Dorcas Rigathi aomba kanisa lisaidie kukabili unywaji pombe

  • | KBC Video
    12 views

    Mkewe naibu rais kasisi Dorcas Rigathi amewataka viongozi wa kidini kuungana katika kumnusuru mtoto wa kiume kutoka lindi la mihadarati. Akiongea alipokutana na viongozi wa kidini katika kanisa la Full Gospel mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia, kasisi Dorcas aliwahimiza viongozi wa kidini kujikakamua kuwafikia na kuwanusuru wale waliozama kwenye uraibu wa mihadarti. Kasisi Dorcas yuko kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu katika kaunti ya Trans Nzoia inayolenga kuwasaidia wanyonge katika jamii..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive