Skip to main content
Skip to main content

Katiba mpya Tanzania inawezekana kufikia 2028? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    41,832 views
    Duration: 28:10
    Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka jana nchini Tanzania imeendelea kuzua maoni tofauti, hasa miongoni mwa vyama vya kisiasa. Katika taarifa, chama cha ACT Wazalendo kimesema kimestaajabishwa na pendekezo la tume hiyo la kubuniwa kwa tume nyingine ya kupeleleza makosa ya jinai yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Chama hicho kimesema uponyaji na uwiano wa kitaifa utapatikana kupitia uchunguzi huru, uwazi na taasisi ambayo itakubalika na raia wa Tanzania. #Tanzania #Uchaguzi #CCM #ACTWazalendo #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw