Katibu Charles Hinga azuru kiwanda cha vyuma cha Tononoka

  • | Citizen TV
    452 views

    Katibu Katika Wizara Ya Nyumba Charles Hinga Alizuru Kampuni Ya Tononoka Kaunti Ya Mombasa Wasambazaji Wakuu Wa Vyuma Vya Miradi Ya Serikali Ya Nyumba Za Bei Nafuu.