29 Jul 2026 10:27 am | Citizen TV 217 views Duration: 1:39 Katibu wa Idara ya masuala ya Vijana , Fikirini Jacobs, atoa wito wa ushirikiano kwa sekta zote za serikali kuwezesha vijana kabla ya sherehe za Siku ya Kimataifa ya Vijana ya mwaka huu mnamo Agosti 12.