Katibu Jonathan Mueke akagua uwanja wa Ithookwe

  • | Citizen TV
    816 views

    Katibu katika wizara ya kilimo na ustawi wa mifungo Jonathan Mueke anaongoza ujumbe wa kukagua uwanja wa Ithookwe ambako sherehe za kitaifa za mashujaa zitafanyika mwaka huu