- 304 viewsDuration: 1:59Katibu katika wizara ya elimu Prof. Julius Bitok sasa anasema hatua za kisheria zimechukuliwa dhidi ya wakuu wa shule 20 waliokuwa wanasimamia shule hewa katika maeneo yao. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya elimu ya bunge la kitaifa, Bitok amesema serikali itahitaji fedha zaidi katika mwaka ujao wa kifedha kutimiza mahitaji yake