Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo aongoza kikosi cha maafisa kukagua kituo cha Suam

  • | Citizen TV
    284 views

    Katibu katika wizara ya usalama Daktari Raymond Omollo aliongoza kikosi cha maafisa wa utawala na usalama kukagua shughuli za kituo cha mpakani cha Suam kaunti ya Trans Nzoia.