Katibu mkuu wa chama cha ANC asema chama kinafanya mazungumzo na vyama vingine

  • | Citizen TV
    233 views

    Katibu mkuu wa chama cha ANC Omboko Milemba amekanusha madai kuwa chama hicho kinavunjiliwa mbali. Milemba amesema kuwa ANC inafanya mazungumzo na vyama vingine ili kuboresha muungano wa Kenya Kwanza. Aidha, mwenyekiti wa ANC Kelvin Lunani amesema kuwa wanachama watahusishwa iwapo anc itaafikia kuvunjiliwa mbali.