18 Mar 2026 1:13 pm | Citizen TV 276 views Duration: 1:25 Katibu Mkuu wa chama cha walimu, KNUT, Collins Oyuu, amepuuzilia mbali azma ya mtangulizi wake Wilson Sossion ya kugombea uchaguzi ujao wa kitaifa wa chama hicho, akisema kuwa Sossion si mwanachama wa chama hicho kwa sasa.