Katibu mkuu wa ligi kuu ya sataranji nchini afichua kuwa uwepo wa daraja umeinua ubora wa mchezo

  • | NTV Video
    202 views

    Katibu mkuu wa ligi kuu ya sataranji humu nchini Anthony Kionga amefichua kuwa uwepo wa daraja La pili la ligi umeinua ubora wa mchezo huo nchini. Ligi ya Sataranji ilitamatika wikendi iliyopita huku Equity ikitetea taji lake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya