Skip to main content
Skip to main content

Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna ataka mkataba wa ODM na UDA kuangaliwa upya

  • | Citizen TV
    2,875 views
    Duration: 4:29
    Upande mwingine baadhi ya wanasiasa walitaka makini kwa chama cha ODM hata unapoendelea na ushirikiano wake na serikali. Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna sasa akitaka mkataba wa makubaliano kati ya ODM na UDA kuangaliwa upya. Aidha kwenye matamshi yaliyojaa majazi ya siasa za ODM, magavana James Orengo na Simba Arati pia walionekana makini kwenye matamshi yao