Katibu mkuu wa umoja wa mataifa atembelea Moscow na baadae Kyiv wiki hii kutafuta amani.

  • | VOA Swahili
    7,853 views
    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov mjini Moscow, ambako amekuwa akishinikiza kumalizwa kwa vita vya Ukraine kwa njia ya kidiplomasia. Mazungumzo pia yaliangazia msaada wa kibinadamu kwa mji wa bandari ulioharibiwa wa Mariupol.