Katibu mratibu wa ODM apinga msimamo wa Seneta Sifuna

  • | Citizen TV
    2,863 views

    Katibu mratibu wa kitaifa wa chama cha ODM na pia Mwenyekiti wa Baraza la magavana na Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi amesema matamshi wa Katibu Mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna hivi majuzi kwenye mahojiano katika runinga ya Citizen yalikuwa ya kibinafsi na wala si msimamo wa chama cha ODM