- 255 viewsDuration: 59sWizara ya leba imewataka wakenya kutimia njia muafaka ya serikali kutafuta kazi nje ya nchi. Akizungumza nchini Canada ambapo anahudhuria mkutano wa kuwatafutia wakenya nafasi zaidi za ajira, katibu katika wizara ya leba Shadrack Mwadime aliwaonya wakenya dhidi ya kutumia njia ya mkato kama vile kutumia visa ya utalii kutafuta kazi ughaibuni.