Katibu wa Uekezaji Hassan atoa hakikisho kwa waekezaji kuhusu usalama katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    145 views

    Katibu wa uekezaji katika wizara ya uekezaji, viwanda na biashara Abubakari Hassan amewahakikishia wakaazi wa Lamu kwamba atashinikiza serikali kuu kuimarisha zaidi usalama wa eneo hilo ili wawekezaji waweze kuekeza kisiwani humo na taifa kwa jumla. Amezungumza haya alipozuru maeneo yaliyoshambuliwa na magaidi majuma mawili yaliyopita kaunti ya Lamu ili kuwafariji waathirika. Rahma Rashid anaarifu zaidi