Katibu wa urekebishaji tabia ataka jamii kuwapokea wafungwa waliokamilisha kifungo kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    166 views

    Katibu mkuu katika idara ya urekebishaji tabia Daktari Salome Beacco amezitaka jamii kuwakubali wafungwa wanapomaliza vifungo vyao na kurudi nyumbani.