Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa Wizara ya Maji ameongoja juhudi ya kuhimiza wananchi kutunza mazingira

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 3:16
    Katibu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ameongoza juhudi za kuhimiza ushirikishwaji wa wananchi wote katika ajenda ya mazingira kwa kupanda miti katika msitu wa Ollolua kaunti ya Kajiado. Msitu wa Oloolua wenye ukubwa wa takriban ekari 1,700 umeendelea kuwa kitovu cha juhudi za urejeshaji wa misitu na mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.