Katibu wa wizara ya michezo Elijah Mwangi amezindua chuo cha michezo cha Kiganjo

  • | Citizen TV
    324 views

    Katibu wa wizara ya michezo Elijah Mwangi amezindua chuo cha michezo cha Kiganjo kaunti ya Kiambu katika muendelezo wa mpango huo wa wizara.