28 Aug 2025 1:43 pm | Citizen TV 275 views Duration: 1:49 Katibu katika wizara ya Habari na mawasiliano Stephen Isaboke ameeleza msimamo wa serikali wa kupiga jeki vijana maeneo ya mashinani kwa kuwapa mafunzo ya bure ya kidigitali ili kutoa nafasi zaidi za ajira.